Nav bar

Jumapili, 7 Septemba 2014

SIKU YA TATU YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO -MALAIKA HOTELI MWANZA


MWENYEKITI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT TITUS KAMANI, AKIWAKARIBISHA WENYEVITI WA BODI MBALIMBALI ZA SEKTA KUJITAMBULISHA KWA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO

AFISA TAWALA WA MKOA WA TABORA BIBI KUDURA MWINYIMKUU AKIFATILIA KWA MAKINI YALIYOKUWA YANAENDELEA WAKATI WA UTAMBULISHO WA WENYEVUITI WA BODI MBALIMBALI ZA SEKTA YA MIFUGO
MSHAURI WA BODI YA ZAO LA NGOZI DKT JONAS MELLEWAS AKIJITAMBULISHA KWA WADAU WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO 

MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA PROF, KURUJILA AMBAYE PIA NI MHADHIRI KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE MOROGORO  AKIJITAMBULISHA KWA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO
MMWENYEKITI WA BODI YA NYAMA TANZANIA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni