MKURUGENZI WA TPCF MFUKO WA JAMII YA WACHUNGAJI WA MIFUGO YA ASILI TANZANIA BW JOSEPH OLE PARSAMBEI AKIWASILISHA MADA WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO MWANZA MALAIKA HOTELI |
MKUUWA MKOA WA MOROGORO MHE JOEL BENDERA AKIFATILIA KWA MAKINI MADA ILIYOKUWA INAWASILISHWA |
WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WANAFATILIA KWA MAKINI MADA ILIYOKUWA MEZANI INAWASILISHWA |
KATIBU TAWALA WA MKOA WA MOROGORO KWANZA KULIA AKIFATILIA MADA KATIKA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO MWANZA |
WADAU WA MKUTANO WA SEKTA YA MIFUGO MALAIKA HOTELI JIJI LA MWANZA |
KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA BW MUSSA ULLEDI KULIA AKIFATILIA JAMBO WAKATI WA KUWASILISHWA MADA YA MAENEO YALIYOPENDEKEZWA KUINGIA KWENYE MATOKEO MAKUBWA SASA |
KUTOKA KUSHOTO WAKUU WA MIKOA YA KATAVI DKT RAJABU RUTENGWE, KAGERA KANALI MSTAAFU MASSAWE NA RUKWA ENG STELLA MANYANYA |
WAKUU WA WILAYA KUTOKA KUSHOTO CHUNYA MHE, DEODATUS KINAWITO, HAI MHE NOVATUS MAKUNGA NA RUFIJI MHE BABU |
WAKUU WA WILAYA KUANZIA KUSHOTO RUFIJI MHE BABU, MBULU, MHE ANATORY CHOYA NA NGORONGORO ELIASI WAWA LALI |
JOSEPH OLE PARSAMBEI MWENYEKITI WA TPCF, MUWAKILISHI NA MTETEA HAKI ZA WAFUGAJI WA NGOMBE ZA ASILI AKITOA MADA JUU YA MFUMO WA UFUGAJI WA ASILI NA HAKI ZAO |
MKUU WA MKOA WA MOROGGORO MHE JOEL BENDERA AKIFATILIA MADA INAYOTOLEWA KWENYE MKUTANO MTOA MADA HAYUPO PICHANI |
MWENYEKITI WA TCPF AKITOA MADA YA HAKI ZA JAMII YA WAFUGAJI WA NG'OMBE ZA ASILI |
MEZA KUU WA KWANZA KULIA NI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII BIBI MAIMUNA TARISHI AMBAYE ALIMUWAKILISHA WAZIRI WA WIZARA YAKE |
BAADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WALIOSHIRIKI MKUTANO HUO MWANZA |
MAKATIBU TAWALA WA MIKOA WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO JIJI LA MWANZA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni