MKURUGENZI WA TPCF MFUKO WA JAMII YA WACHUNGAJI WA MIFUGO YA ASILI TANZANIA BW JOSEPH OLE PARSAMBEI AKIWASILISHA MADA WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO MWANZA MALAIKA HOTELI |
KATIBU TAWALA WA MKOA WA KWANZA KULIA WA MOROGORO AKIFATILIA MADA KATIAK MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO MWANZA |
MKURUGENZI WA SERA NA MIPANGO BIBI CATHERINE JOSEPH AKIWAKILISHA MADA YA MIPANGO NA MIKAKATI MBALIMBALI YA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI |
KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA BW MUSSA ULEDI MWENYE MIWANI |
WAKUU WA MIKOA KUTOKA KUSHOTO KATAVI, KAGERA NA RUKWA |
KUANZIA KUSHOTO WAKUU WA WILAYA YA RUFIJI, KIBAHA NGORONGORO |
KUANZIA KUSHOTO WAKUU WA WILAYA WA CHEMBA, HAI NA KIBAHA |
MEZA KUU WA KWANZA KULIA NI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII BIBI MAIMUNA TARISHI AMBAYE ALIMUWAKILISHA WAZIRI WA WIZARA YAKE |
KAMANDA MKUU WA POLISI TANZANIA IGP ERNEST MANGU AKIFATILIA MADA ILIYOKUWA INAWASILISHWA MTOA MADA HAYUPO PICHANI |
BAADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WALIOSHIRIKI MKUTANO HUO MWANZA |
MAKATIBU TAWALA WA MIKOA WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO JIJI LA MWANZA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni