WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KUANZIA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA UKEREWE MHE. MARY TESHA KATIKATI MKUU WA WILAYA YA NGORONGORO |
AFISA TAWALAWAMKOAWATABORA BIBI KUDRA MWINYING'OMBE AMAYE NI MMOJA YA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANA MALAIKA HOTELI |
MKURUGENZI WA UZALISHAJI NA MASOKO BIBI ANUSIATA NJOMBE AKIFATILIA JAMBO KWA MAKINI WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO.WA PILI NYUMANI MSHAURI MKUU WA ZAO LA NGOZI DKT JONAS MELLEWAS |
KUSHOTO NI DKT MSAFIRI AMBAYE NI DAKTARI MKUU WA MIFUGO WA MKOA WA KAGERA NYUMA MTENDAJI MKUU WA LITA BIBI MAGRETH PALLANJO KULIA KWAKE NI MWENYEKITI WA BODI YA LITA PROF SEMGURUKA |
MWENYEKITI WA BODI YA BARAZA LA VETERINARI TANZANIA PROFESSA KAZWALA |
KAIMU MKURUGENZI MKUUI WA UPIMAJI WA ARDHI BW JOHN KAMI AKITOA MADA KAMA INAVYOSOMEKA KATIKA KIASHIRIA NDANI YA PICHA UMUHIMU WA UPIMAJI WA MAENDEO YA UFUGAJI IKIWA I ZOEZI LA MATUMINZI BORA YA ARDHI |
MUWASILISHAMADA BW JOHN KAMI AKIWA PEMBENI MWA MEZA KUU AKIWASILISHA MADA YAKE |
SEKRETARIATI YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WA KWANZA KUSHOTO NI MSEMA CHOCHOTE BW JOSEPH MLINZI NA BW JEREMIA TEMU TEMU |
MAAFISA TAWALA WA MIKOA MALIMLI WAIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KULIA NI BW FAZAL ISSA KILIMANJARO |
MKUU WA MKOA WA RUKWA MHE ENG STELLA MANYANYA AKIWA NA WAKUU WA WILAYA YA NCHEMBA MHE FRANSIS ISACK NA MHE NOVATUS MAKUNGA WILAYA YA HAI |
KUSHOTO MKUU WA MKOA WA KATAVI MHE DKT RAJABU RUTENGO MKUU WA MKOA WA KAGERA MHE KANALI MSTAAFU FABIAN MASSAWE |
MJUNBE WA MKUTANO AKIFATILIA KWA MAKINI MADA INAYOWASILISHWA NA MUWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA |
MUWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA BW AKIWASILISHA MADA YA WAFUGAJI WA ASILI WA TANZANIA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni