MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA SUMMIT RANCH LTD KALAMBO DKT, JOSPER NDUASIMBE AKITOA MADA SIKU YA TATU YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KABLA YA KUFUNGWA MKUTANO |
Add caption |
DKT JASPER NDUASIMBE AKITOA MADA KWENYE MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA |
MSEMA CHOCHOTE BW JOSEPH AKIMKARIBISHA MWENYEKITI KUENDELEA NA RATIBA YAKE BAADA YA MTOA MADA KUMALIZA |
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUKOMBE NAYA NI KATI YA WASHIRIKI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WALIOSHIRIKI |
MJASIRIAMALI WA MADAWA YA MIFUGO NA VYAKULA BW MSELEM AKIULIZA JAMBO WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MALAIKA HOTELI ILIYOPO KATIKA JIJI LA MWANZA. |
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KANDA YA ZIWA BW AKIULIZA JAMBO ILI APATE UFAFANUZI WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KATIKA HOTELI YA MALAIKA ILYOPO JIJI LA MWANZA |
WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KUTOKA MANYARA, MONDULI WALIOHUDHURIA KATIKA MKUTANO WAKISIMAMA NA KUJITAMBULISHA KATIKA MAKUNDI YAO KANMA WANAVYOONEKANA KATIKA PICHA |
Add caption |
MKURUGENZI UZALISHAJI NA MASOKO YA MIFUGO AKIJIBU BAADHI YA HOJA ZA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO MALAIKA HOTELI ILYOPO JIJI LA MWANZA |
KAIMU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT YOHANA BUDEBA AKIFAFANUA JAMBO KABLA YA KUFUMGWA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO |
MAAZIMIO YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KAMA YALIVYOWASILISHWA NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA |
WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WAKIFATILIA KWA MAKINI MUWASILISHA MADA |
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. KAIKA TELELE AKIHUTUBIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO SIKU YA MWISHO YA UFUNAJI WA MKUTANO HUO |
NGOMA YA KABILA LA KIMASAI WAKICHESHA KWA FURAHA NA MADAHA MAKUBWA WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KATIKA HOTELI YA MALAIKA KATIKA JIJI LA MWANZA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni