Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiongea na Wadau (hawapo pichani) katika Mdahalo wa Kilimo Biashara Juu ya Nafasi ya Tanzania Kuwa Kapu la Chakula Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 4, 2023. Mkutano huo ni muendelezo wa matukio kuelekea Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika (AGRF) utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 5 hadi 8, 2023.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akifuatilia majadiliano yaliyokuwa yakiendelea katika Mdahalo wa Kilimo Biashara Juu ya Nafasi ya Tanzania Kuwa Kapu la Chakula Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 4, 2023.
Katibu Mkuu, Prof. Riziki Shemdoe (kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji, Tume ya Mipango, Bw. Lawrence Mafuru katika Mdahalo wa Kilimo Biashara Juu ya Nafasi ya Tanzania Kuwa Kapu la Chakula Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 4, 2023.
Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji na Maendeleo ya Masoko, Bw. Stephen Michael (kulia) akifuatilia majadiliano yaliyokuwa yakiendelea katika Mdahalo wa Kilimo Biashara Juu ya Nafasi ya Tanzania Kuwa Kapu la Chakula Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 4, 2023. Mratibu, Dawati la Sekta Binafsi, Bw. Deogratius Gambago.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni