Meneja Mkuu wa Taasisi ya ufugaji samaki ya TANLAPIA Bw. Baraka Kalangahe (katikati) akiwaeleza baadhi ya washiriki wa Mkutano wa jukwaa la mifumo ya chakula (AGRF) kuhusu historia ya Taasisi hiyo muda mfupi baada ya washiriki hao kufika kwenye Taasisi hiyo Septemba 03,2023.
Mmoja wa waratibu wa Taasisi ya ufugaji wa samaki ya TANLAPIA iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani Bw. Peter Mrope (katikati) akiieleza timu ya washiriki wa Mkutano wa jukwaa la Mifumo ya Chakula (AGRF) kuhusu shughuli zinazotekelezwa na Taasisi hiyo muda mfupi baada ya timu hiyo kuwasili kwenye eneo hilo Septemba 03, 2023.
Viongozi na watendaji kutoka Taasisi inayojishughulisha na ufugaji wa samaki ya TANAPIA iliyopo wilayani Bagamoyo wakiwa kwenye pich ya pamoja na baadhi wa washiriki wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula (AGRF) mara baada ya timu hiyo kuhitimisha ziara yao kwenye maeneo mbalimbali ya Taasisi hiyo Septemba 03,2023.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni