Mtendaji Mkuu na Mwanzilishi wa Baridi Group Ltd, Bw. Kristinn Gunnarsonn (kushoto) akimueleza jambo Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega alipofika ofisini kwa Waziri huyo Machi 24, 2023. Bw. Gunnarsonn aliongozana na Wawekezaji kutoka nchini Iceland kwa ajili kujadiliana na kuangalia fursa ambazo wanaweza kuwekeza hususan katika Sekta ya uvuvi hapa nchini.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wawekezaji kutoka nchi ya Iceland muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma Machi 24, 2023. Wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu na Mwanzilishi wa Baridi Group Ltd, Bw. Kristinn Gunnarsonn. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe. Wawekezaji hao kutoka Iceland lengo lao lilikuwa ni kujadiliana na kuangalia fursa ambazo wanaweza kuwekeza hususan katika sekta ya uvuvi hapa nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni