Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akitoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kilichofanyika katika moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma Machi 24, 2023. Kushoto ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. David Kihenzile akielekeza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kilichofanyika katika moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma Machi 24, 2023.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Dkt. Medard Kalemani akitoa maoni yake wakati wa kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kilichofanyika katika moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma Machi 24, 2023.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Salma Kikwete akitoa maoni yake wakati wa kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kilichofanyika katika moja ya kumbi za Bunge jijini Dodoma Machi 24, 2023.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni