Kutoka kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Charles Mhina, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu (Uvuvi) Bw. Emmanuel Kayuni (katikati) na Mratibu wa Mradi wa Heifer International (Tanga) Bi. Ritta Mwashitete wakifuatilia kwa makini mtanange wa mpira wa Miguu kati ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi dhidi ya Wizara ya Katiba na Sheria leo Oktoba 6,2022 ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kushinda magoli mawili kwa sufuri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni