Nav bar

Jumanne, 18 Oktoba 2022

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AMTEMBELEA MFUGAJI WILAYANI MOROGORO

 


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (kulia) akisalimiana na Mfugaji  wa  kijiji cha Milama, Mvomero Mkoani Morogoro Bw. Maloloi Kibangashi, (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye shamba lake la Mifugo Mkoani huko. Octoba 06.2022


Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Mhe. Mashimba Ndaki (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafugaji pamoja na watendaji wa Mkoa huo mara baada ya kutembelea  shamba hilo na kuona Mifugo iliyopo na kuhamasisha wafugaji kufuga kisasa na kwa tija  na kwenda pia kwenye shamba hili Ili kuweza kujifunza. Octoba 06, 2022

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni