Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo, Usalama wa Chakula na Lishe Bw. Gabriel Bura mwenye shati la mistari (kulia), Bw. John Chobo kushoto pamoja na picha ya pamoja na Afisa Mfawidhi kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa ya Mifugo Mwanza Bi. Subira Samwel, na wafanyakazi wa kiwanda cha nyama cha Chobo walipoenda kutembelea kiwanda hicho kilichopo katika Wilaya ya Misungwi jijini Mwanza
Bw. Gabriel Bura Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo na Usalama wa Chakula na Lishe akishuhudia hatua za uchinjaji wa mbuzi kuanzia mwanzo hadi kufikia hatua ya kuwekwa kwenye chumba
cha baridi tayari kwa kusafirisha kwa wateja katika kiwanda cha Chobo Investment alipoenda kwenye ukaguzi jijini Mwanza. (25.6.2019)
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo, Usalama wa Chakula na Lishe Bw. Gabriel Bura katika picha mbalimbali alipotembelea chuo cha mafunzo ( DIT) tawi la
Mwanza na kujionea shughuli na mafunzo yatolewayo chuoni hapo jijini
Mwanza.(25.6.2019)
Bw. Gabriel Bura Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo Usalama wa Chakula na Lishe akipata taarifa mbalimbali kutoka kwa mmoja wa walimu wa chuo hicho Bw. William Lohai alipoenda kutembelea chuo hicho jijini Mwanza.(25.6.2019)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni