Zoezi la kukabidhi Magari 11 yaliyotolewa na Mradi wa SWIOFISH lilofanyika Mvuvi House |
Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akimkabidhi funguo za gari Mkurugenzi wa ukuzaji viumbe kwenye maji Bi. Ritha |
zoezi likiendelea la kukabidhi funguo kwa baadhi ya Wakurugenzi wa Idara kuu Uvuvi |
Katibu Mkuu Dkt. Yoahana Budeba na wakurugenzi wa uvuvi wakifurahia baada ya kukata utepe magari yaliyotokana na mradi huo |
Katibu Mkuu Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akikata utepe kwa ajili ya kukabidhi magari hayo yaliyotolewa na Mradi wa SWIOFISH |
Dkt. Yohana Budeba akimkabidhi funguo za gari Mratibu wa Mradi huo Bi. Flora Luhanga |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni