Kaimu Mkurugenzi Idara ya uzalishaji na masoko Bw.Victor Mwita akifafanua jambo kwenye mkutano uliofanyika ofisini kwa Mkuu wa wilaya (DC) ya Muleba Mkoani Kagera |
Katibu Mkuu Idara kuu ya Mifugo Dkt. Mary Mashingo akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zilizoibuliwa na DC pamoja na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba |
Katibu Mkuu Dkt. Mary Mashingo akiwa na timu ya wataalam akionyeshwa baadhi ya ``BICON" ya mpaka eneo la Mwisa II |
Katibu Mkuu na baadhi ya wataalamu wakiangalia moja ya Rambo linalochimbwa kwa nguvu ya wananchi katika kijiji cha Itunzi |
Katibu Mkuu Dkt. Mary Mashingo akipokea maelezo kutoka kwa mtaalam wa ardhi Bw. Kafero kutoka Mkoani Kagera |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni