Kontena lililokuwa limebeba nyavu haramu za uvuvi likifunguliwa ili zikaguliwe |
Muonekano wa Zana haramu za uvuvi baada ya kufungua kontena lilokuwa limebeba nyavu hizo |
Nyavu zikiwekwa pemben baada ya kugundulika si halali kwa matumizi ya uvuvi |
Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi Kitengo cha ulinzi wa Rasilimali za Uvuvi AD/FRP Bw. Emmanuel Bulai akionyesha baadhi ya nyavu haramu zilizoingizwa nchini |
Mkuu wa polisi wanamaji Tanzania Bw. Mboje Kanga akitoa maelezo ya nyavu hizo haramu kwa waandishi wa habari |
Kemikali iliyokutwa imeingizwa kwenye mizigo hiyo ya nyavu haramu |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni