Nav bar

Jumanne, 13 Septemba 2016

MAKATIBU WA KUU NA WATUMISHI WA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WAFURAHIA USHINDI KWA KUONGOZA KUPELEKA WATUMISHI WENGI KATIKA KUSHIRIKI BONANZA ILIYOFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 10/09/2016

Makatibu wa kuu kutoka Idara kuu Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akifatiwa na Dkt. Mary Mashingo kushoto ni Mkurugenzi msaidizi wa Utawala Bw. S.C.Liganga

Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala Bw. S.C. Liganga akitoa maelezo kidogo kwa Makatibu wa kuu (hawapo pichani)

Mkurugenzi wa Ugavi na manunuzi Bw. Gastory Lugali afurahia ushindi huo  


Mkurugenzi wa Huduma za mifugo Dkt.  Abdi Hayghaimo ashikilia kombe kwa furaha 

Makatibu wa kuu kutoka Idara kuu Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba afurahia kombe kulia ni Dkt. Mary Mashingo kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu Chando 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni