|
Mkutano wa kwanza wa kukusanya maoni ya Wadau wa Sekta ya Mifugo wakati wa kutambulisha Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo Tanzania katika Kanda ya Kati Dodoma (Tanzania Livestock Sector Modenization Initiative) |
|
Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Mifugo wakichangia Maoni yao ili kuuboresha Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo Wadau wametoka Kanda ya Kati Mkoa wa Singida(Wilaya ya Iramba, Manyoni na Singida Vijijini) na Dodoma (Wilaya Bahi, Dodoma Vijijini, Chamwino, Mpwapwa Kondoa Chemba na Kongwa |
|
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt Maria Mashingo akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Kanda ya Kati pamoja na Mshauri elekezi wa Mpango huo Dkt Kauwash |
PICHA ZA CHINI MKUTANO WA PILI WA WADAU WA KANDA YA MASHARIKI WA MIKOA YA PWANI, TANGA NA MOROGORO
|
Wadau wa Kanda ya Masharikiwakitambuliswa Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo na kutoa maoni yatakayoingizwa kwenye Mpango husika kwa ajili ya wao Wadau kushiriki kikamilifu katika kazi zao za kisekta walizonazo |
|
Wadau wa Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya Pamja na Kaimu Katibu Mkuu Bibi Anuciata Njombe na Mshauri Mwelekezi Dkt Kauwash |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni