wafanyakazi wakianika dagaa kwenye chanja katika Kisiwa cha Kabumbilo |
Dagaa wakiwa kwenye chanjauandaaji wa karabai kabla inayotumika kutegea dagaa |
Dagaa baada ya kugeuza geuza wakipakia kwenye mifuko |
Karabai likiwa tayari kwa utegaji wa dagaaDagaa wakipakiwa kwenye ghala tayari kwa kusafirishwa |
sehemu ya kuhifadhia dagaaBw. Gordian Elias aliefanikiwa na kupata mafunzo kupitia Mradi wa TASP II (Transport and Agricultural support programme) juu ya uchakataji wa dagaa |
Maafisa wa habari wakiwa na wataalamu wa uvuvi pamoja na mabaharia baada ya kukamilisha ziara katika Wilaya ya Muleba Mkoa wa Bukoba |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni