Namna ya uchakataji wa dagaa wakukaanga |
Bw. Issa Jiwa mchakataji kutoka kisiwa cha Kimoyomoyo Wilaya ya Mulebawa dagaa wa kukaanga akiwa amewapakia tayari kwa kusafirisha |
Dagaa wakiwa kwenye ujazo wa gram 100 mpaka 500 |
Mchakataji kutoka kijiji cha Busekela Musoma akianika dagaa kwenye chanja baada ya kutolewa kwenye ziwa |
Mchakatji wa dagaa wa kukaanga Bi. Beatrice Mbaga akikusanya kwa ajili ya kwenda kukaangwa |
Mchakataji akikaanga dagaa na kuweka kwenye chujio kwaajili ya kuchuja samaki |
Vifungashio vya dagaa akiviwekea nembo |
Dagaa wakiwa tayari kwa kumfikia mlaji baada ya kufungwa vizuri |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni