Nav bar

Alhamisi, 15 Oktoba 2015

MKUTANO WA KAMISHENI YA UVUVI YA NCHI ZA KUSINI MAGHARIBI YA BAHARI YA HINDI (SOUTH WEST INDIAN OCEAN COMMISION) ILIYOFANYIKA MAPUTO - MSUMBIJI


Mwenyekiti wa Kamisheni ya Uvuvi ya Nchi za kusini Magharibi ya Bahari ya Hindi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uvuvi Tanzania Bw. Hosea Mbilinyi akipokea cheti cha Utendaji bora kutoka kwa Waziri wa Uvuvi wa Msumbiji Mhe. Mondlande

 

Bi. Nancy Gitonga kutoka Kenya aliyekuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Kamisheni ya SWIOFC akitoa salamu kwa Mhe. Waziri wa Uvuvi Msumbiji na Wajumbe waliohudhuria mkutano huo

Waziri wa Uvuvi wa Msumbiji Mhe. Mondlane akiwakaribisha Wajumbe wa Kamisheni ya Uvuvi Kusini Magharibi Bahari ya Hindi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr. Kassim Juma akiwa kwenye mkutano wa Kamisheni ya Uvuvi ya Nchi za Kusini Magharibi ya Bahari ya Hindi

Wajumbe wa WWF wakiwa kwenye mkutano huo wa Kamisheni ya SWIOFC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr. Kassim Juma akisalimiana na Mjumbe wa WWF Washington Marekani

Mwenyekiti wa kamati ya Sayansi ya SWIOFC Dr. Kimani kutoka Kenya akiwasilisha kazi za kamati hiyo kwa Makamishina wa SWIOFC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr. Kassim akiwa kwenye mapumziko baada ya kushiriki kikao cha SWIOFC

Mkurugenzi wa Uvuvi kutoka Kenya Dr. Harryson Charo akichangia mada kwenye Mkutano wa SWIOFC


  Wajumbe kutoka Nchi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa SWIOFC






Mkurugenzi Mkuu wa Deep Sea Authority Tznzania Bw. Zahor Kassi akiwa kwenye Mkutano wa SWIOFC


  Bandari ya Uvuvi Maputo Msumbiji na kulia ni Kiwanda cha samaki

Kiwanda cha samki kwenye Bandari ya Uvuvi Maputo Msumbiji

Bandari ya Uvuvi Maputo

Baadhi ya vyombo vya wavuvi wadogo kwenye Bandari ya Uvuvi

Meli 35 za Uvuvi wa mishipi (Longlines) za makampuni Binafsi na zitafanya Msumbiji kuwa moja ya Nchi zenye meli zake zinazovua EEZ na Bandari kuu

Katibu Mkuu wa Uvuvi Zanzibar akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Uvuvi Kenya kwenye bandari ya Uvuvi Msumbiji

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni