Kaimu Mkurugenzi Rasilimali watu na Utawala Bw.Simbani Liganga (katikati) akifungua Rasmi Mkutano wa Tughe na wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakifuatilia Mada mbalimbali zilizotolewa na Viongozi kutoka Tughe |
Mwenyekiti wa Tughe tawi la Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bw.Silas William akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na uvuvi Dkt Yohana Budeba kufunga mkutano huo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni