Nav bar

Jumapili, 27 Septemba 2015

MAONESHO YA KIMATAIFA YA EXPO MILAN 2015 KATIKA ENEO LA RHO FIERA MJI WA MILAN ITALY KUANZIA TAREHE 15 - 20 /09/2015 KWA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

Washiriki kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi -Tanzania Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Wawakilishi wa UNIDO Italia na Watumishi wa Mgahawa wa Maabara ya Samaki wabichi Iliyopo Mji wa  PADOVA





Mjasiriamali kutoka Tanzania Mdau wa Viungo vya Asili kutoka Mji Mkongwe Zanzibar Bw Ahmed Othman Akiuza Bidhaa zake Kwenye Banda ya Tanzania Milan Italy
Wageni Mbalimbali wanaotembelea Banda la Tanzania na Kujionea Utajiri Mkubwa wa Rasilimali Zilizopo Tanzania Ambapo walipata Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Sera Mipango Mikakati na Fursa za Uwekekezaji Katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi Nchini Tanzania
Bibi Lulu Massawe Mjasiriamali Kutoka Dar-es-Salaam Akiwa Katika Banda la Tanzania Akielezea Bidhaa za Viungo na Mazao Yanayozalishwa nchini Tanzania Hii Ikiwa ni Kutafuta Masoko ya Nje ya Nchi.

Mjasiriamali Kutoka Dar-es-salaam Bw William Uiso Akinadi Bidhaa zake za Utamaduni, Kahawa  Kama Unavyomuona katika Picha   

Familia ya Bw Deogratius Amadori Ambayo Imeishi Nchini Tanzania Miaka  ya 1970 - 87 Miaka 16 Wakifurahia Mara Baada ya Kukutana na Watanzania Katika Banda  la Tanzania

Muonekani wa Nje wa Banda la Thailand Ambapo Nchi 170 Duniani Zimeshiriki Katika Maonesho Hayo.

Add caption

Njiwa ni Jamii ya Ndege Ambao Wanaheshimika Sana Nchini Itali Kutokana na Historia Yao Kuainishwa na Kazi za Mwenyezi Mungu, Njiwa hawa Wapo kwa Wingi Nje ya Kanisa la Mtakatifu Paulo Katika Mji wa
Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw Gastory Lugali Akiwa Nje ya Kanisa la MT Paulo Katika Mji wa Duoma Milan

Kanisa la MT .............Eneo Ambalo Lina Njiwa Wengi Katika Mji wa Duomo Milan
Wakurugenzi na Maafisa wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Wakiwa Katika Basi Kuelekea Mji wa  Venis
Florital

Mshauri Elekezi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Itali Bw Lumo Akiwa Katika Msafara wa  Kuelekea Mji wa Florital Kwenye Mgahawa wa Maabara ya Mazao Yatokanayo na Viumbe Kwenye Maji
Bibi Alicia Mtaalamu Kutoka UNIDO Ambaye Waliwezesha Kutembelea Kiwanda cha Samaki Venencia na Mgahawa wa Maabara Ulioko Katika Mji wa Florital

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando Akisikiliza Maelezo Kutoka kwa Meneja wa Mgahawa wa Maabara wa Florital
Bibi Margareth John Mukami Akiangalia Bidhaa Zitokanazo na Ukuzaji wa Viumbe Kwenye Maji 
Meneja wa Mgahawa wa Maabara ya Bidhaa za Samaki Ukuzaji wa Viumbe Kwenye MajiAkimtambulisha Bingwa wa Kuhifadhi Bidhaa hizo Zisipoteze Ubora Wake Ambaye ni Muuandaaji Maarufu wa Bidhaa hizo Wakati Wateja Wanapohitaji

Mtaalam Kutoka UNIDO -ITALI  Bw Andrea

Bibi Sharifa Ahmed Kutoka Mji Mkongwa Zanzibar ni Mmoja wa Wajasiriamali Ambao Walipata Fursa ya Kutembelea Mgahawa wa Maabara Katika Mji wa Florital
Mdau wa Ufugaji Viumbe Kwenye Maji Bw Abraham Kishimbo Kutoka Aqua Big Fish  Safina - Kigamboni Dar-Es-Salaam Ambaye Alishiriki Maonesho ya Expo Milan kwa Kujigharamia

Mkuu wa Msafarana Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bibi Catherine Joseph Akitoa Maelezo Mara Baada ya Kutembelea Mgahawa wa Maabara wa Bidhaa za Samaki na  Ukuzaji wa Viumbe kwenye Maji




Bidhaa Kutoka Tanzania Ziwa Victoria Mwanza Sangara Akiwa Katika Mgahawa wa Maabara


































Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinyi Akiwa katika Picha ya Pamoja na Bi Alice Ambaye ni Mtaalam Kutoka UNIDO - Italia
Meneja wa Mgahawa wa Maabara Akiwa Katika Picha ya Pamoja na Afisa Mawasiliano wa Wizara Bibi Judith Mhina
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bibi Tabu Chando Akishuhudia Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine JosephAkimpatia Zawadi  kutoka Tanzania Meneja wa Mgahawa wa Maabara

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bibi Tabu Chando Akishuhudia Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine JosephAkimpatia Zawadi  kutoka Tanzania Meneja wa Mgahawa wa Maabara
Mkurugenzi wa Sera na Mipango na Mkuu wa Msafara wa EXPO- MILAN 2015Akitoka katiak Jengo la Mgahawa wa Maabara katika Mji wa Padova





Add caption
Meneja Msimamizi wa Mgahawa wa Maabara ya Samaki Padova Akiwa na Wawakilishi wa UNIDO Italia  Muda Mfupi kabla ya kuaza Ziara kwa Washiriki wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
Mkurugenzi wa Rasilimali Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando akiwa pamoja na Mkurugenzi waIdara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinyi wakielekea ndani Kiwanda cha Samaki cha Flrital Venice Italia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni