Nav bar

Jumatano, 3 Juni 2015

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE.DKT TITUS KAMANI AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA MAZIWA DUNIANI MKOA WA MANYARA
 Mgeni rasmi Mhe. Dkt Titus Kamani Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akisikiliza neno kutoka kwa kiongozi wa kikundi cha JKT Oljoro Manyara Bw. Naimu Ali Haji.

Mgeni Rasmi Mhe. Dkt Titus Kamani Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, akiwasili katika viwanja vya raha Mkoa wa ManyaraWanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Madunga Mantara wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi Mhe. Dkt. Titus Kamani Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi


Kikundi cha JKT Oljoro Manyara Nao pia walipata nafasi ya kutumbuiza katika maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Duniani
Katibu Tawala wa Mkoa  wa Manyara Mhandisi Omary Chambo akiwashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi katika wiki ya Maziwa Dunia.

Mhe. Dkt Titus Kamani akihutubia wananchi katika viwanja vya kwa Raha Mkoa wa Manyara siku ya kilele cha Maadhimisho hayo.

Baadhi ya Mifugo iliyoletwa kwenye maonesho hayo ilipita mbele ya mgeni rasmi
Mgeni rasmi Mhe. Dkt Titus Kamani akipita katika mabanda kuona bidhaa mbalimbali
Brand Manager wa Kampuni ya TSN Bw. Loth Mlule akitoa maelezo mafupi ya bidhaa kwa mgeni rasmi Mhe. Dkt Titus Kamani


Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha Wageni katika Kampuni ya Madawa ya Mifugo ya Madunga Vetagro Center Ltd.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni