Katikati ni Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anauncia Njombe akiwa na viongozi wa Baraza la Maziwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaa ya Babati. |
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la maziwa Dr. Ruth Rioba akitoa neno la shukurani kwa Wajumbe wa Baraza hilo. |
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la maziwa Dr. Ruth Rioba akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa sasa wa baraza hilo Dr. Ally Majani. |
Mwenyekiti wa Baraza la maziwa Dr. Ally Majani akitoa neno la shukurani kwa wajumbe. |
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anauncia Njombe akitoa hutuba kwa Wajumbe wa Baraza la maziwa kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. |
Afisa masoko Ester Shamazara kutoka kampuni ya Bajuti akitoa maelezo ya mashine ya kukamulia maziwa ya ng'ombe wawili kwa wakati mmoja. |
Hii ni Mashine ya kutenganisha cream na maziwa |
Ng'ombe chotara aina ya Ayrshire na Friensian akikamuliwa kitaalamu, anauwezo wa kutoa lita 25 kwa siku. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni