Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe Pembeni ni watendaji wa Wilaya ya Momba na wa Wizara |
Waziri Kamani akitembelea eneo la Tunduma ambapo Wilaya ya Mumba imekusudia kujenga soko la Mazao yatokanayo na Uvuvi ili kudhibiti Mapato yatokanayo na mazao hayo. |
Halmashauri ya Wilaya ya Momba imemtembeza Mhe Waziri Kamani katika Eneo wanalokusudia kujenga soko la mazao yatokanayo na uvuvi |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani (mwenye miwani) akisaini kitabu cha wageni mara alipofika ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe |
Watumishi wa Idara ya Uvuvi kituo cha Tunduma na Wafanyakazi wa Wilaya ya Momba wakimsikiliza Mhe Waziri mara alipopata fursa ya kuongea nao (hayipo pichani) |
Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. akimuonyesha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani, jiwe la Mpaka wa Tanzania na Zambia Tunduma |
Waziri wa maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akikauia ghala linalotumika kuhifadhia mazao yatokanayo na uvuvi kabla ya kusafirishwa kwenda nchi jirani ya Zambia |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa |
Add caption |
Add caption |
Mmiliki wa kiwanda cha SAAFI LTD cha Sumbawanga Dkt Christian Mzindakaya akitoa maelezo ya kiwanda cha kwa Waziri (hayuop pichani) pembeni ni Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali za Uvuvi Bw Mghulwi |
Waziri wa ,Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani Akiangalia baadhi ya shughuli zinzofanyika katika Kiwanda cha SAAFI LTD |
Kiwanda cha SAAFI kinazalisha nyama bora kabisa ambayo inauzwa ndani na nje ya nchi jirani za Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo |
Mmiliki wa Kiwanda cha SAAFI Dkt Crisant Mzindakaya kulia akitoa maelezo kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kanani (katikati) akipata maelezo juu ya ukataji wa minofi mbalimbali ya nyama kwa kutumia mashine inayoonekana kwenye picha |
Magari yanayosafirisha nyama ni maalum kwa uhakika wa Ubora na Usalama wa Chakula |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu, na Watumishi wa SAAFI LTD |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akipata mapokezi na maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe |
Wingu zito ni matokeo ya kuteketezwa kwa zana haramu za uvuvi zilizokamatwa katia Kituo cha Doria cha Kasanga Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa |
Mhe Dkt, Titus Mlengeya Kamani, akikagua eneo la Uvuvi la Kituo cha Kasanga Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa |
Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akisalimiana na Viongozi na watumishi wa Wilaya ya Nkasi |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamanialipokaribishwa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Mkoa Mhe .............................(mwenye suti ya blue mbele pembeni mwa waziri ) |
Mkuuwa Mkoa wa Katavi Mhe ....................................akitoa maelezo ya Mkoa wake kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani (hayupo pichani ) |
Vichanja vya kuanikia samaki na dagaaa katika Mwalo wa ................................Wilaya ya Nkasi |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani alipotembelea mualo wa Ikola Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi katika picha anaangalia vichanja vya kuanikia samaki na dagaa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni