Bibi Tabu Chando Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu akijitambulisha na kuwasalimia Wafanyakaziwa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Katibu Mkuu wa Wzara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvihawapo pichani |
Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Wakimnsikiliza kwa Makini Katibu Mkuu wakati akitoa maelekezo na utaratibu wa utendaji kazi wa Wizara Hayupo pichani |
Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Wakimnsikiliza kwa Makini Katibu Mkuu wakati akitoa maelekezo na utaratibu wa utendaji kazi wa Wizara Hayupo pichani |
Wanamichezo wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Wakipongezana kuhusu Ushindi wao wWakati wa Shimiwi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni