ZIARA ILIYOFANYIKA TAREHE 19/02/2014
 |
Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania iliyopo Mpwapwa Dkt Daniel Komwihangilo |
 |
Katibu wa Waziri Bw Mwakipesile akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa TALIRI |
 |
Mhe Dkt Kamani akisaini kitabu cha wageni TALIRI |
 |
Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wakiwa kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wakati Mhe Waziri anasaini kitabu |
Mhe Waziri akielekea kutembelea maeneo ya Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania yaliyopo Mpwapwa
Mhe Dkt Kamani akiangalia mbegu za nyasi
 |
Mhe. Dkt Kamani akiangalia nyasi zilizopandwa kwa kuchanganya na mahindi |
 |
Mtafiti wa TALIRI upande wa Malisho akitoa maelezo kwa Mhe. Waziri Dkt Kamani |
 |
Eneo la Malisho linahotaji ulinzi anayeonekana mbele ya Waziri ni Mlinzi wa eneo la Malisho akitambulishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi Dkt Daniel Komwihangilo |
 |
Mhe Waziri akiangalia ramani ya mashamba ya malisho na Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania Mpwapwa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni