Mhe Waziri akijibu maswali ya Waandishi wa Hbari alipotembelea Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanznaia TALIRI |
Mhe. Waziri akiongea na Watumishi wa TALIRI, pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Mpwapwa a |
Mhe. Waziri alisaini kitabu cha wageni |
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanzania Dkt Komwihangilo akisoma Taarifa ya TALIRI kwa Mhe Dkt Titus Kamani |
Watumishi wa Taasisi wakijitambulisha kwa Waziri MMUV |
WMMUV Mhe. Dkt Titus Kamani akiongea na watumishi hawapo kwenye picha. |
Mhe Waziri akiangalia mbuzi aina ya Gogo weupe (Gogo white) ambao wamehifadhiwa kama mbegu na kufanyiwa utafiti wa uwezo wao wa uzalishaji wa nyama, maziwa, ukubwa wa umbo na uwezo wa kuzaana |
je mbuzi hawa wana faida ganikw awafugaji wetu ? Dkt Komwihangilo atajibu |
Wauuh''''''''''''''''''''''''''''''GOGO WHITE |
Gogo White wamechanganyika na Mbuzi wa Brown wa Kigoma wenye msitari mweusi katikati ya mgongo sehemu ya nyuma masikio na usoni |
Mhe. Waziri akiongea na Mtafiti akiwa kwenye eneo la maabara na madawa ya mifugo |
Aliye mkono wa kushoto kwa Waziri ni Afisa Tawala wa Wilaya ya Mpwapwa Bibi |
Mhe. Waziri akikagua jengo la Makao Makuu ya TALIRI upande wa Utawala |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni