DKT MOLLEL KATIKA PICHA ,MTAALAMU WA
KUTOA MBEGU AKIONYESHA CHOMBO MAALUM KINACHOTUMIKA KUKINGA MBEGU ZA
MADUME BORA TAYARI KWA KUPELEKWA MAABARA KWA UCHUNGUZI NA KUHIFADHIWA
KWENYE MITUNGI KWA AJILI YA KUHAMILISHA.
|
PICHA NI MADUME BORA YANAYOTUMIKA KUZALISHA MBEGU BORA ZA KUHIMILISHIA NG'OMBA MAJIKE YAPO USA RIVER NJE KIDOGO YA MJI WA ARUSHA |
|
MTAALAMU WA KUTOA MBEGU KWENYE MADUME BORA AKIKINGA MBEGU HIZO KWENYE CHOMBO MAALUM KWA KUTUMIA UTAALAM WA DUME LINGINEAMBAPO, DUME ANAYETOLEWA MBEGU HUDHANI NI JIKE LA NGOMBE HIVYO HUPANDA NA MTAALAM ANAKINGA KABLA HAJAMFIKIA YULE DUME MWINGINE. |
|
MTAALAMU
WA MAABARA YA KUHIFADHI MBEGU BORA ZA MADUME BIBI MARY SHIO AKITOA
MAELEZO KWA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT DAVID
MATHAYO DAVIDALIPOTEMBELEA KITUO HICHO
|
|
DKT MOLLEL NA
BIBI MARY SHIO WANAONEKANA KATIKA PICHA DKT MOLLEL ANAFUNGUA MFUNIKO WA
KIMIMINIKA CHA HEWA BARIDI YA NITROJENI ILI KUMUONYESHA WAZIRI HAYUPO
PICHANI |
|
MKUU WA KITUO CHAMADUME BORA YA UZALISHAJI MBEGU ZA NG'OMBE DKT CHARLES MAKUNDI AKITOA MAELEZO KWA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT DAVID MATHAYO DAVID ALIPOTEMBELEA KITUO HICHO |
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni