SERIKALI KUIMARISHA UTEKELEZAJI MPANGO WA KAMPENI ZA CHANJO NA UTAMBUZI WAMIFUGO

Naibu Katibu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Dkt. Fabian Madele, ameshiriki kikao cha wataalamu wa Idara ya mifugo na Vituo vya Kanda (ZVCs) Septemba 11, 2026, kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi za wizara hiyo, Mtumba jijini Dodoma.

Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kujadili na kuimarisha utekelezaji wa mpango wa kampeni za chanjo na utambuzi wa mifugo, ambapo pamoja na mambo mengine, wataalamu hao wamejadili tathmini ya kampeni za chanjo na utambuzi wa mifugo kwa mwaka 2025/2026, mpango wa kampeni hizo kwa mwaka 2026/2027, pamoja na maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani 2026.






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WATAALAMU WATAKIWA KUKUSANYA TAKWIMU SAHIHI ZA KITAFITI

TANZANIA DAIRY BOARD

LESENI, VIBALI VYA MAZAO YA MIFUGO NA VYAKULA VYA SAMAKI KUTOLEWA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI