MHE. KAMANI AKUTANA NA MENEJA TADB KANDA YA ZIWA KUJADILI UWEZESHAJI WA MIKOPO KWA VIJANA

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Ng'wasi Damas Kamani leo Septemba 14, 2026 Jijini Mwanza, amekutana na Meneja wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB) Kanda ya Ziwa, Bw. Ally Janja, katika Ofisi za Benki hiyo na kujadiliana kuhusu Utoaji wa mikopo kwa vijana, mikopo ambayo inatolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuwezesha vijana kufanya shughuli za uzalishaji katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WATAALAMU WATAKIWA KUKUSANYA TAKWIMU SAHIHI ZA KITAFITI

TANZANIA DAIRY BOARD

LESENI, VIBALI VYA MAZAO YA MIFUGO NA VYAKULA VYA SAMAKI KUTOLEWA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI