DKT. MADELE AFUNGUA MAFUNZO YA ENEO LA KAZI KWA WATUMISHI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Fabian Madele Septemba 16,2026 amefungua mafunzo kwenye eneo la kazi kwa watumishi wa Wizara hiyo waliopo makao makuu jijini Dodoma ambayo yametolewa na Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF), Wakala wa usalama na afya mahala pa kazi na Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma.














Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WATAALAMU WATAKIWA KUKUSANYA TAKWIMU SAHIHI ZA KITAFITI

TANZANIA DAIRY BOARD

LESENI, VIBALI VYA MAZAO YA MIFUGO NA VYAKULA VYA SAMAKI KUTOLEWA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI