Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2016

TENDER: ME/021/2015-16/SWIOFish/G/13 FOR SUPPLY OF 12 MOTOR VEHICLE (4WD) AND 17 MOTOR CYCLES DATED 23/08/2016

Picha
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES (FISHERIES) SOUTH WEST INDIAN OCEAN FISHERIES GOVERNANCE AND SHARED GROWTH PROGRAM (SWIOFish)PROJECT-IDA CREDIT No.5589-TZ TENDER: ME/021/2015-16/SWIOFish/G/13 FOR SUPPLY OF 12 MOTOR VEHICLE (4WD) AND 17 MOTOR CYCLES Invitation for Bids This Invitation for Bids follows the General Procurement Notice for this Project that appeared in Development Business , issue no. WB4892 of October,2015 . The United Republic of Tanzania has received a credit No.5589-TZ from the International Development Association toward the cost of the South West Indian Ocean Fisheries Governance and    Shared Growth program ( SWIOFish) , and it intends to apply part of the proceeds of this credit to payments under the Contract for the SUPPLY OF   12 MOTOR VEHICLE (4WD) AND 17 MOTOR CYCLES The Permanent Secretary of th...

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE YA WAKULIMA ILIYOFANYIKA KANDA YA KATI VIWANJA VYA NZUGUNI MKOANI DODOMA

Picha
Naibu Wazir wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akihutubia wananchi waliokusanyika katika sherehe ya wakulima Kanda ya kati katika viwanja vya Nzuguni Mgeni rasmi akitoa zawadi kwa mshindi wa kwanza wa kundi la Wizara za Serikali zawadi ikipokelewa na Mkurugenzi wa Utafiti , Mafunzo na Ugani Dkt. Lymo, H Mkurugenzi na wataalamu wa Wizara wakionesha vyeti vya Ushindi wa kwanza (1) kwa Wizara za Serikali na nafasi ya tatu (3) kwa washiriki wote wa maonesho sehemu ya malisho bora yaliyoandaliwa na  kuhifadhiwa kwa ajili ya maonesho katika viwanja vya Nzuguni yajulikanayo kama Hei katika banda la NARCO

MASHINDANO YA WANYAMA ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA NZUGUNI TAREHE 05/08/2016 MKOANI DODOMA

Picha
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba akitoa hotuba kwa washiriki wa mashindano ya mifugo iliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni Baadhi ya ng'ombe walioshindanishwa wakipita mbele ya mgeni rasmi Katibu Mkuu Idara Kuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo kushoto kwake ni wakurugenzi kutoka Idara ya DRTE na TVLA akiangalia mashindano hayo Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba  akiwa na Katibu Mkuu Idara Kuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo  akiangalia baadhi ya bidhaa zitokanazo na kampuni ya kuzalisha  maziwa ya ASAS Ng'ombe wa maziwa akiswagwa ili apite mbele ya mgeni rasmi Ng'ombe wa nyama aina ya borani alieshindanishwa

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA SULUH HASSAN AFUNGA MAADHIMISHO YA SHEREHE YA WAKULIMA TAREHE 08/08/2016 ILIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe.Samia Suluhu Hassan akifunga maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo Mkoani  Lindi Katibu Mkuu Idara kuu Uvuvi akipokea zawadi ya ushindi kuwa namba moja (1) kwa Wizara inayoongoza katika Sekta ya Uchumi ambayo ni Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Charles Tizeba akisoma hotuba kwa ufupi ya kumkaribisha mgeni rasmi kabla ya kufunga Maonesho ya Nanenane  Wananchi wa Lindi wakisikiliza kwa makini maneno kutoka kwa mgeni rasmi katika viwanja vya ngongo Mgeni rasmi Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia juice ya mabibo katika banda la Idara kuu Kilimo

MHE. WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER M. MUHONGO AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE ILIYOFANYIKA KITAIFA MKOA WA LINDI KWA NIABA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMUHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 01/08/2016

Picha
Mgeni rasmi Prof.Sospeter Muhongo Mhe. Waziri wa Nishati na Madini (kulia) ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw. William Tate Ole Nasha akifatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego na (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Mhe. Godfrey Zambi Mgeni rasmi Mhe. Prof. Sospeter Muhongo Waziri wa Nishati na Madini  akisoma hotuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane  kwa niaba ya Makamu wa Rais yaliyofanyika katika viwanja vya Ngongo  Mkoa wa Lindi Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Bw. William Tate Ole Nasha akisoma hotuba fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mama Salma Kikwete Mke wa  Rais  Mstafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne  Mh.Jakaya Kikwete   akizungumza maneno machache kabla ya Ufunguzi wa maonesho hayo Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akitoa utambulisho kwa wageni waliohudhuria maonesho ya Nanenane Mkoa wa Lindi Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba inayosomwa na...

MGENI RASMI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUI KATIKA MAONESHO YA NANENANE YALIYOFANYIKA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MANISPAA YA LINDI TAREHE 01/08/2016

Picha
Mgeni rasmi Mhe.Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akielekea katika banda la Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mgeni rasmi akioneshwa bidhaa mbalimbali zitokanazo na ngozi   Mfano wa shamba bora la malisho ya mifugo la Nangaramo