Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe.Samia Suluhu Hassan akifunga maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi |
Katibu Mkuu Idara kuu Uvuvi akipokea zawadi ya ushindi kuwa namba moja (1) kwa Wizara inayoongoza katika Sekta ya Uchumi ambayo ni Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi |
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Charles Tizeba akisoma hotuba kwa ufupi ya kumkaribisha mgeni rasmi kabla ya kufunga Maonesho ya Nanenane |
Wananchi wa Lindi wakisikiliza kwa makini maneno kutoka kwa mgeni rasmi katika viwanja vya ngongo |
Mgeni rasmi Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia juice ya mabibo katika banda la Idara kuu Kilimo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni