Naibu Wazir wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akihutubia wananchi waliokusanyika katika sherehe ya wakulima Kanda ya kati katika viwanja vya Nzuguni |
Mgeni rasmi akitoa zawadi kwa mshindi wa kwanza wa kundi la Wizara za Serikali zawadi ikipokelewa na Mkurugenzi wa Utafiti , Mafunzo na Ugani Dkt. Lymo, H |
Mkurugenzi na wataalamu wa Wizara wakionesha vyeti vya Ushindi wa kwanza (1) kwa Wizara za Serikali na nafasi ya tatu (3) kwa washiriki wote wa maonesho |
sehemu ya malisho bora yaliyoandaliwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya maonesho katika viwanja vya Nzuguni yajulikanayo kama Hei katika banda la NARCO |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni