MGENI RASMI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUI KATIKA MAONESHO YA NANENANE YALIYOFANYIKA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA NGONGO MANISPAA YA LINDI TAREHE 01/08/2016
Mgeni rasmi Mhe.Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akielekea katika banda la Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Mgeni rasmi akioneshwa bidhaa mbalimbali zitokanazo na ngozi
Mfano wa shamba bora la malisho ya mifugo la Nangaramo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni