Mama Salma Kikwete Mke wa Rais Mstafu waJamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne Mh.Jakaya Kikwete akizungumza maneno machache kabla ya Ufunguzi wa maonesho hayo |
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego akitoa utambulisho kwa wageni waliohudhuria maonesho ya Nanenane Mkoa wa Lindi |
Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba inayosomwa na mgeni rasmi (hayupo pichani) |
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza kabla ya ufunguzi wa maonesho hayo katika viwanja vya Ngongo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni