Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba akitoa hotuba kwa washiriki wa mashindano ya mifugo iliyofanyika katika viwanja vya Nzuguni |
Baadhi ya ng'ombe walioshindanishwa wakipita mbele ya mgeni rasmi |
Katibu Mkuu Idara Kuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo kushoto kwake ni wakurugenzi kutoka Idara ya DRTE na TVLA akiangalia mashindano hayo |
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba akiwa na Katibu Mkuu Idara Kuu Mifugo Dkt. Maria Mashingo akiangalia baadhi ya bidhaa zitokanazo na kampuni ya kuzalisha maziwa ya ASAS |
Ng'ombe wa maziwa akiswagwa ili apite mbele ya mgeni rasmi |
Ng'ombe wa nyama aina ya borani alieshindanishwa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni