Nav bar

Jumatatu, 30 Mei 2016

WIKI YA MAZIWA NCHINI,KITAIFA IMEFANYIKA KATIKA MKOA WA NJOMBE KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI MPECHE TAREHE 28/05/2016

MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI DKT AICHI KITALYI ALIYESHIKA MAIKI KUSHOTO AKIMKARIBISHA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA,HAYUPO PICHANI,KUSHOTO KWAKE NI ABDALA TEMBA KUTOKA WIZARA YA KILIMO ,MIFUGO NA UVUVI

KAIMU MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE.ANATORY CHOYA AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA LUDEWA AKIMSIKILIZA KWA MAKINI DKT MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI DKT AICHI KITALYI,HAYUPO PICHANI

BAADHII YA WAFANYAKAZI WA BODI YA MAZIWA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI DKT AICHI KITALYI
MHE.ANATORY CHOYA ALIYESHIKA MAIKI AKIKAGUA BIDHAA ZITOKANAZO NA WAZIWA MOYA YA BANDA KATIKA VIWANJA VYA MPECHE SEKONDARI

KATIKA KUHAKIKISHA VIWANGO VYA UBORA WA BIDHAA YA MAZIWA NCHINI TBS NAO WALISHIRIKI

MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI BW.MARK TSOXO AKIMWELEZA MGENI RASMI CHANGAMOTO ZA MASOKO YA MAZIWA  WANAZO KUTANA NZAO


MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA NCHINI BW.MARK TSOXO MWENYE SHATI NYEUPE  AKIWASHIRIKISHA JAMBO MWEKITI  WA BODI YA MAZIWA DKT AICHI KITALYI NA WAJUMBE WENGINE

BAADHI YA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE WALIOSHIRIKI KATIKA WIKI YA MAZIWA NCHINI

WANAFUNZI WA SHULE MCHANGANYIKO ZA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE WAKIINGIA KATIKA VIWANJA VYA MPECHE SEKONDARI KWA MAANDAMO
WANAFUNZI WA SHULE MSINGI MPECHI WAKIIMBA SHAIRI MBELE YA MGENI RASMI


VIONGOZI MBALIMBALI WALIOSHIRIKI WIKI YA MAZIWA NCHINI  WAKIWA MEZA KUU PAMOJA NA MGENI RASMI KATIKA VIWANJA VYA MPECHU SEKONDARI

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE BI.ILUMINATA MWENDA AKISALIMIA WAGENI KATIKA VIWANJA VYA MPECHI SEKONDARI

KAIMU MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE.ANATORY CHOYA AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA LUDEWA AKIHUTUBIA WANANCHI WALIOFIKA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA KATIKA VIWANJA VYA MPECHI SEKONDARI MKOANI NJOMBE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni