Nav bar

Alhamisi, 19 Mei 2016

KIWANDA BUBU CHA SAMAKI CHAFUNGWA KATIKA ENEO LA RAILWAY CLUB - GEREZANI TAREHE 17/05/2016 JIJINI DAR ES SALAAM


Maafisa  mbalimbali kutoka Idara na Taasisi za Serikali, (TFDA,TRA, Afya, Polisi) wakiingia ndani ya kiwanda bubu cha samaki
Bw. H. Mutagwaba Afisa Mfawidhi kanda ya Dsm na Pwani  akiendelea na zoezi  kufungua lango kuu la kiwanda hicho  akiwa na Bw. Bulongo Afisa Uvuvi kulia ni mwandishi wa habari kutoka ITV Bw. Spencer Lameck
Samaki aina ya kamba
Samaki aina ya mkule 
Samaki wakipakiwa kwenye magari kwenda feri kupigwa mnada
Samaki aina ya Kamba (Prones)
Samaki walioharibikiwa wakiwa tayari kuteketezwa
Hiyo ni mashine iliyokuwa inatumika kupozea chuma cha kuhifadhia samaki.








                          Moja ya gari lilokuwa limetumika kubeba samki kutoka kiwandani hadi feri           

Baadhi ya Samaki wakiwa wamehifadhiwa kwenye maboksi ndani ya kiwanda hicho                      
                      





Samaki walioharibika wakiteketezwa
Gari lakuteketeza samaki walioharibika

Maafisa usalama wakifunga kontena ambalo lina samaki kwa ajili ya kupigwa mnada



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni