Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Florence Turuka akisoma hotuba ya ufunguzi kwa wadau wa mkutano huo |
mmoja wa wahisani kutoka Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) akitoa maelezo kwa wadau husika |
washiriki wa warsha wakiwa katika vikundi wakijadili na kuchambua mada mbalimbali zilizowasilishwa kutoka kwa wataalamu |
mmoja wa wanakikundi akiwasilisha uchambuzi mada zilizojadiliwa katika kikundi chake |
mwanakikundi mwingine akiwasilisha vilevile mada iliojadiliwa kwenye kikundi chake |
picha ya pamoja ni wadau wa mkutano wa (CSA) katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Florence Turuka |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni