Nav bar

Jumatatu, 29 Februari 2016

MKUTANO WA UWASILISHAJI WA MAELEZO YA BOTI ZA KISASA ZA DORIA KUTOKA ITALY

Baadhi ya wajumbe  wa wajumbe wa mkutano wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mh Wsaziri wa KMU( hayupo pichani)


 Waziri wa KMU  Mh. Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kwenye mkutano














Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu akiwa kwenye mkutano huu




Mkurugenzi wa uvuvi katika Wizara ya KMU bwana Hosea Gonza Mbilinyi wa tatu kutoka kulia akimsikilza kwa makini mkuu wa jeshi la polisi







Waziri wa KMU Mh Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kuhusu umuhimu wa boti hizo kwa ajili ya doria 




Katibu Mkuu wa Wizara ya KMU (Uvuvi) Dr Yohana Budeba  kushoto akiwa na Mkurugenzi wa uvuvi Bw Hosea Gonza Mbilinyi kulia



Wataalam kutoka kampuni ya  CMESCOMMANDMULTROLE-ULCRAFASTPACROLOAT kutoka kushoto ni Bw Aleksandr Zinrman na Bw Francisco Gargiulo



Boti ya kisasa ya doria aina ya CMES 40 yenye uwezo wa kukimbia zaidi ya KM 160 kwa saa inayotarajiwa kununuliwa ikiwa kazini




Bw Francisco Gargiulo kutoka kampuni ya CMESCOMMANDMULTROLE-ULCRAFASTPACROLOAT kutoka Italy inayotengeneza boti hizi akitoa maelezo kuhusu boti hii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni