Moja kati ya bwawa la vifaranga vya samaki wa aina mbalimbali katika eneo la Mbegani Bagamoyo |
Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo Idara ya Viumbe kwenye maji akimuelezea Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba uzalishwaji wa vifaranga vya samaki hao |
Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba na Bi. Tabu Chando Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wakiwa na baadhi ya watumishi wakiangalia bwawa kubwa la samaki |
Mmoja wa wafanyakazi Idara ya Viumbe kwenye maji Bw. Abdul Kahaija akionyesha jinsi ya ulishwaji wa samaki hao |
Maboti ya kuvulia samaki yakiwa yametia nanga |
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu chando akiwaeleza wafanyakazi taratibu Sheria na kanuni za kiutumishi Serikalini |
Bw. Godifrey Christopher kutoka Idara ya Ubaharia na Uvuvi (FETA) akitaka kujua sera ya kuajiri kwa Watumishi |
Bw. Walilo Yasin Teknolojia wa Samaki (FETA) akiuliza kuhusiana na maslahi ya Mtumishi akiumia kazini |
Bi. Emakulata Ndalawa kutoka Idara ya Ubaharia na Uvuvi akimshauri Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba "Mkiuza Meli Mnunue Meli" |
Moja kati ya boti kubwa linalotengenezwa kwa ajili ya kuvulia samaki Bahari kuu (Deep Sea) |
Mazingira mazuri ya Mbegani Bagamoyo |
Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo II Kutoka Idara ya Viumbe kwenye Maji atoa wazo juu ya Ununuzi wa Mashine ya kuzalishia chakula cha samaki |
Bw. Tukaye Mngonji akiuliza kuhusu utaratibu wa uchangiaji wa bima ya afya serikalini |
Bw. Juma Mkumba akitaka ufafanuzi juu ya Watumishi wa Umma kukaa sehemu moja kwa muda mrefu katika vituo vyao vya kazi |
Bw. Emmanuel Mboge Mhasibu wa FETA akiuliza swala la kupandishwa cheo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni