Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2015

ZIARA YA MHE NAIBU WAZIRI KATIKA MNADA WA PUGU TAREHE 21/12/2015

Picha
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Pugu Mnadani tarehe 21/12/2015 Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi. Anunciata Njombe  akiongea na waandishi wa habari Pugu Mnadani katika Ziara ya Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha   Josho la kuogeshea ng'ombe ambalo limekaa kwa muda mrefu bila kutumika Pugu Mnadani Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha  akiongea na wafanya biashara wa Pugu Mnadani Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha  akisaini kitabu cha wageni katika Mnada wa Mbuzi huko Pugu Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha  akitembelea Mnada wa Mbuzi Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha  akiangalia mipaka na maeneo yaliyouzwa   Mmoja wa kibarua akimuonesha Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha  maeneo mengine yaliyochukuliwa na kujengwa na Wananchi Pugu ...

WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI WAKARIBISHWA WIZARANI TAREHE 16/12/2015

Picha
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akikaribishwa Wizarani Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate OleNasha akikaribishwa Wizarani Picha ya pamoja Watumishi wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakiwapongeza Waziri Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu Waziri Mhe. William Tate OleNasha

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI AKARIBISHWA KATIKA OFISI YAKE ILIYOPO MVUVI HOUSE

Picha
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha akiwa Ofisini kwake Jengo la Mvuvi House Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba akimkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Tate Ole Nasha (hayupo pichani) Nyuma ya KM ni Afisa Mawasiliano Bw Richard Kasuga Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akipata Utambulisho kutoka kwa Afisa Mawasiliano Bw Richard Kasuga ya Watumishi aliofatana nao (hawapo pichani)

WATUMISHI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAMESHIRIKI KUFANYA USAFI KATIKA ENEO LA PUGU MNADANI NA FERI TAREHE 03 DEC 2015

Picha
Mkurugenzi wa  manunuzi na Ugavi  Bw. Gastory Lugali na wakishirikiana kufanya usafi na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu Chando Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi. Anunciata Njombe akifanya usafi Mkurugenzi wa  manunuzi na Ugavi  Bw. Gastory Lugali akionesha ushirikiano katika kufanya usafi Mkurugenzi wa  manunuzi na Ugavi  Bw. Gastory Lugali wakifanya usafi kwa pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko Bi . Anunciata Njombe Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakionesha ushirikiano katika kufanya usafi huko pugu mnadani Wafanyakazi na Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakisafihsa maeneo ya feri jijini Dar es Salaa m

MKUTANO WA 33 WA CHAMA CHA MADAKTARI (TVA) NA WATAALAM WA MIFUGO (TAVEPA) TANZANIA ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA AICC ARUSHA TAREHE 01-04/12/2015

Picha
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw.  Fadhili Mkulu akifungua rasmi mkutano huo kwa niaba ya mgeni rasmi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Filex Tilemba Baadhi ya washiriki kutoka sehemu mbalimbali wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) Bi. Mariam mtaalamu wa mifugo k utoka Wilaya ya Ngorongoro akikabidhiwa zawadi baada kushinda maswali ya papo kwa papo na mtaalamu kutoka k ampuni za Fambase na Farmers center Mwenyekiti wa TAVEPA Bw. Salim Mselem kutoka kampuni ya Farmbase na Farmers centre akitoa maelezo ya awali kwa mgeni rasmi kabla ya kufungua mkutano wa chama cha wataalamu wa mifugo nchini (PARAVET) uliofanyika Jijini Arusha Mkurugenzi wa Baraza la Veterinary Tanzania Dkt. Bedan Masululi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akielezea kazi zinazofanywa na Baraza za Usajili wa wataalam na madaktari wa mifugo kwa amgeni rasmi (hayupo pichani)alie pembeni yake Bw. Richard Kwitega Katibu Tawala Msaidizi mkoa wa Arusha Katibu Tawala wa Mkoa...

MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI ULIOFANYIKA TAREHE 03/12/2015 KATIKA UKUMBI WA IDARA YA HABARI MAELEZO DAR ES SALAAM

Picha
Bi. Judith Mhina Mkuu wa Kitengo cha  Mawasiliano Serikalini  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mradi wa SWIOFISH katika Mkutano wa Waandishi wa habari (Press Conference) uliofanyika tarehe 03/10/2015  Idara ya habari maelezo Watumishi kutoka Wizarani na waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini taarifa hito kutoka kwa msemaji wa Wizara (hayupo pichani) Bi fatma Sobo Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Uvuvi kulia ni Dkt. Simon Kwange Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi na kushoto ni Bi. Judith Mhina Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wakisikiliza mawswali kutoka kwa Waandishi (hawapo pichani) Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa makini majibu kutoka kwa Wataalamu Bw. Silas William kutoka Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye maji akitoa majibu kwa Waandishi kuhusu kudhibiti viwanda kuhusianan na nyavu za kuvulia samaki