WAZIRI KAMANI AKABIDHI NG'OMBE WA MAZIWA KIKUNDI CHA WAFUGAJI SOMANGILA - KIGAMBONI
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani akikabidhi ng'ombe kwa mfugaji, mwenye miwani katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Covenant, Bibi Sabetha Mwambenja, ambapo Benki yake imefadhili fedha za mkopo kwa wafugaji pamoja na Bima ya mifugo.
Benki ya kwanza nchini Tanzania kutoa mkopo kwa wafugaji na kuweka Bima ya Mifugo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Covenant Bibi Sabetha Mwambenja akimpokea Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt Titus Kamani katika hafla ya kukabidhi ng'ombe 83 kwenye viwanja vya Geza Juu - Somangila Kigamboni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni