Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani , Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
(katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la
IFAD (International Fund for
Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto)
alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni