Nav bar

Jumatano, 27 Agosti 2014

WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI YAFANYA PRESS CONFERENCE KIWANDA CHA MAZIWA CHA MILKCOM - DAR FRESH





MENEJA WA KIWANDA CHA MILKCOM - DAR FRESH  BW COR VAN DEN DOEL AKIWAKARIBISHA WAGENI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI  PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI  AMBAO WALIFIKA KIWANDANI HAPO KWA AJILI YA PRESS CONFERENCE HIYO.
 


MSEMAJI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT MOHAMEDI BAHARI WA TATU KUSHOTO AKISIKILIZA JAMBO KUTOKA KWA MWENYEJI WA KIWANDA HICHO HAYUPO PICHANI

MUWAKILISHI NA MSIMAMIZI WA PRESS CONFERENCE KUTOKA WIZARA YA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO BIBI FATMA  AKIJITAMBULISHA KABLA YA KUANZA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI


MSEMAJI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT MOHAMMED BAHARI AKIJITAMBULISHA KWA HAFLA ILIYOHUDHURIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
 
MUWAKILISHI WA IDARA YA AFYA YA WANYAMA DKT ELIZABETH SEKIDIO AKIJITAMBULISHA KABLA YA KUANZA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI


MUWAKILISHI WA BARAZA LA VETERINATY KUTOKA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT CAROLINE AKIJITAMBULISHA


KIWANDA CHA MILK COM KINAZALISHA MAZIWA YA NGAMIA, KAMA WANAVYOONEKANA KATIKA PICHA WALIPIGA PICHA NA WAGENI WALIOHUDHURIA KWENYE MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI 
  
WAJUMBE WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI NA WAANDISHI WA HABARI
  
BAADHI YA BIDHAA KUTOKA KIWANDA CHA MAZIWA MILKCOM  DAR FRESH

WAANDISHI WA HABARI WAKIFANYA MAHOJIANO NA MENEJA UZALISHAJI NA MASOKO
 
MSEMAJI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MKUTANO WA WAANDISHI ULIOFANYIKA KIWANDA CHA MAZIWA CHA MILKCOM DAR FRESH




MSEMAJI WA WIZARA VAKITEMBELA SEHEMU MBALIMBALI ZA UZALISHAJI MAZIWA WANAOONEKANA NYUMA YA MSEMAJI WA WIZARA KWENYE PICHA NI NGOMBE AINA YA AYSHIRE
NGOMBE AINA YA HOSTEIN FRISIAN WAKIWA WANAKULA NYASI MBELE YAO MWENYE DIARY YA BLUE NI MSEMAJI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 

MENEJA WA KIWANDA CHA MAZIWA CHA MILKCOM  DAR FRESH AKIELEZEA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI UBORA WA BIDHAA ZITOKANAZO NA KIWANDA CHA MILKCOM DAR FRESH HADHARA HAIPO KWENYE PICHA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni