Nav bar

Alhamisi, 21 Agosti 2014

WAZIRI KAMANI AZINDUA JUKWAA LA MAZIWA TANGA

MWENYEKITI WA JUKWAA LA MAZIWA BW SHOO AKIMKARIBISHA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI KATIKATI NA KUSHOTO NIMKUU WA WILAYA YA TANGA MHE. BIBI  HALIMA DENDEGU

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT TITUS KAMANI AKIWA KWENYE JUKWAA NA VIONGOZI WENGINE WAKATI WA KUZINDUA JUKWAA LA MAZIWA 
KATIBU WA JUKWAA LA MAZIWA AKITOA UFAFANUZI WAKATI WA UZINDUZI WA JUKWAA HILO
BAADHI YA WAJUMBE WA JUKWAA LA MAZIWA WAKIFATILIA KWA MAKINI HPOTUBA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI HAYUPO PICHANI
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS  KAMANI AKIONYESHWA SEHEMU MBALIMBALI ZA KIWANDA CHA TANGA FRESH MWENYE MIWANI
SEHEMU YA KIWANDA CHA TANGA FRESH WATUMISHI WAKIKWA KATIKA UZAKISHAJI WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI HAYUPO PICHANI AKIANGALIA GHOROFANI  KUELEKEA CHINI WALIPO WAFANYAKAZI WA TANGA FRESH
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUTS MLENGEYA KAMANI  AKIWASALIMU WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MBALI MBALI WALIOHUDHURIA UZINDUZI WA JUKWAA LA MAZIWA AKIWA NA MENEJA WA KIWANDA CHA TANGA FRESH  KATIKA VIWANJA VYA TANGA FRESH LILIPOFANYIKA JUKWAA HILO
BAADHI YA VIONGOZI WALIOSHIRIKI UZINDUZI WA JUKWAA HILO MKOA WA TANGA KATIKA VIWANJA VYA TANGA FRESH
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVBI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIPOKEA ZAWADI YA MSHINDI WA KWANZA WA UNYWAJI MAZIWA KATIKA SHULE ZA MSINGI WALIOMZUNGUKA NI WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MABOKWENI

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIPATA MAELEZO KUTOKA KATIKA BANDA LA CHAMA CHA USHIRIKA CHA WAFUGAJI NA  WAZALISHAJI WA MAZIWA (TDCU)YUPO PEMBENI MWA MUELEZAJI

WAZIRI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE.DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA DKT ALI MAJANI MKUU WA SHAMBA LA UZALISHAJI MITAMBA LA MRUAZI LILILOPO KOROGWE KATA YA MNYUZI

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIPATA MAELEZO YA UZALISHAJI WA MITAMBA KUTOKA KWA DKT ALI MAJANIALIPOTEMBELEA BANDA LA MRUAZI HEIFER FARM WAKATI WA JUKLWAA LA MAZIWA KATIKA VIWANJA VYA TANGA FRESH
NGOMBE WA MAZIWA WALIOPO KATIKA SHAMBA LA LAILA AGRO RANCH FARM LA PONGWE KACHUI NJE KIDOGO MWA JIJI LA TANGA SHAMBA HILI LILITEMBELEWA NA WAZIRI WA MAENDLEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGHEYA KAMANI
MMILIKI WA SHAMBA LA LAILA AGRO RANCH LA PONGWE KACHIU NJE KIDOGO MWA MJI WA TANGAAKIWA NA MTENDAJI MKUU WA MAABARA  YA TAIFA YA MIFUGO DKT FURAHA MRAMBA WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI WAZIRI AMBAYE HAYUPO PICHANI
WANAFAMILIA YA KIJIJI CHA PINGO AMBAO NI WAFIGAJI WA NGOMBE WA MAZIWA WALITEMMBELEWA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MAPEMA MWEZI AUGUSTI 2014
MWENYEKITI WA KIKUNDI CHA UPENDO FURAHA AMBAO NI WAFUGAJI WA NGOMBE WA MAZIWA AKITOA MAELEZO KWA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI  MHE DKT TITUS MLENGEYA KAMANI HAYUPO PICHANI
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAFUGAJI WA NGOMBE WA MAZIWA WA KIJIJI CHA PINGO NA VIONGOZI ALIOFATANA NAO KATIKA ZIARA HIYO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni