Nav bar

Alhamisi, 21 Agosti 2014

WAZIRI KAMANI ATEMBELEA KIJIJI CHA MABOKWENI TANGA


WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI AKIPOKEA RISALA YA WAFUGAJI WA NGOMBE WA MAZIWA WAKIJIJI CHA  MABOKWENI ILIYOSOMWA NA MWENYEKITI WA USHIRIKA WA WAFUGAJI NGOMBE WA MAZIWA
SEHEMU YA MTAMBO WA KUPOKELEA MAZIWA ULIOKO KIJIJI CHA CHA MABOKWENI WILAYA YA TANGA

TANKI LA KUWEKEA NA  KUPOZEA MAZIWA KABLA YA KUTOLEWA NA KUPELEKWA KIWANDANI LILILOPO KATIKA KIJIJI CHA MABOKWENI WILAYA YA TANGA
WAKINAMAMA  WA USHIRIKA WA WAFUGAJI WA MAZIWAKIJIJI CHA  MABOKWENI WAKISAFISHA VYOMBO VINAVYOTUMIKA KUKWEKEA MAZIWA KWAKUTOKA KW A WAFUGAJI NA KULETEA KATIKA KITUO CHA KUHIFADHIA KABLA YA KWENDA KIWANDANI 

BAADHI YA WAFUGAJI WA NGOMBE WA MAZIWA KIJIJI CHA MABOKWENI TANGA WAKIMSIKILIZA . WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI HAYUPO PICHANI
KATIBU MTENDAJI WA KATA YA MABOKWENI AKIMKARIBISHA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI MWENYE KAUNDA SUTI NYEUSI AKIMKARIBISHA KATIKA KIJIJI CHA MABOKWENI 
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI AKIONGEA NA WAFUGAJI WA NGOMBE WA MAZIWA KATIKA KIJIJI CHA MABOKWENI NJE KIDOGO MWA MJI WA TANGA

BAADHI YA WATUMISHI WALIOFATANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVBI KATIKA ZIARA YA MKOA WA TANGA HAPA WAPO KIJIJI CHA MABOKWENI WAKIFATILIA KWA MAKINI HOTUBA YA WAZIRI
MWENYEKITI WA  KIJIJI CHA MABOKWENIAKIMPA ZAWADI YA GALONI YA MAZIWA MARA BAADA YA KUHUTUBIA WAFUGAJI WA KIJIJI HICHO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni