Nav bar

Jumanne, 3 Juni 2014

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI IKISOMWA NA WAZIRI MWENYE DHAMANA NA WIZARA HIYO MHE. DKT TITUS MLENGEYA KAMANI 22/05/2014 BUNGENI DODOMA

Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani (Mb) akisoma  Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka 2014/2015 
Add caption

Waziri wa MMUV akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe. Shy-Rose Bhanji katika viwanja vya Bunge Dodoma 

 
Waziri wa MMUV akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Mhe. Sophia Simba.
 
WAWA 
Add caption

Add caption


Waziri wa MMUV akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi na Wakuu wa  Vitengo wa wizara hiyo.

Add caption


Waziri akimsalimia Murugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine Joseph,  kulia ni Naibu Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba.
 
Waziri wa MMUV katikati, anayesalimiana katika picha ni Naibu Waziri wa MMUV Mhe. Kaika Saning'o Telele (Mb) na Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo, Ugani  na Ufuatiliaji wa Mifugo Dkt. Mohamed Bahari,Akiwapongeza Mawaziri mara baada ya Hotuba ya Bajeti kupitishwa na Bunge. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni